Saturday, August 13, 2011

TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI

Kwa niaba ya SKITA kwa kushirikiana na TASHOKA tunatoa pole kwa janga

lililoikuta Serikali ya Japani. Tunawapa pole waliopoteza makazi yao

na waliodhurika kwa namna moja au nyingine.

Mungu azilaze roho za marehemu waliodhurika na janga hilo mahali pema

peponi amina.


SKITA & TASHOKA.

No comments:

Post a Comment