Saturday, August 13, 2011

JIJI LA MIYAKO LILILO ATHIRIKA KWA KIASI KIKUBWA SANA NA TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI



Inasikitisha kujua kwamba kaka yake Kancho Kanazawa

(Dr. Hideo Kanazawa) ni m'oja ya watu walioathiriwa kwa

kiasi kikubwa sana na janga hilo ikiwa ni pamoja na

kupoteza nyumba.

No comments:

Post a Comment