Saturday, August 13, 2011

RATIBA KAMILI YA MASHINDANO YA 11 YA DUNIA (SKIF, 2012) YATAKAYO FANYIKA HUKO AUSTRALIA, MJINI SYDNEY

Monday 19 November 2012
Referee’s Clinic
Yudansha-kai Seminar

Tuesday 20 November 2012
Referee’s Clinic
Yudansha-kai Seminar

Wednesday 21 November 2012
Dan Examinations
Managers/Officials meeting
SKIF General Assembly

Thursday 22 November 2012
Tournament - Veterans and Juniors

Friday 23 November 2012
Opening Ceremony
Tournament - Seniors

Saturday 24 November 2012
Tournament - Seniors
Awards Ceremony
Sayonara Party

MASHINDANO YA 11 YA DUNIA (SKIF, 2012) YATAFANYIKA HUKO AUSTRALIA, MJINI SYDNEY






KANCHO KANAZAWA AKITOA POLE KWA MEYA WA JIJI LAKE (MIYAKO) BAADA YA KUKUMBWA NA JANGA LA TSUNAMI


TSUNAMI ILIYO HARIBU NYUMBANI KWA KANCHO KANAZAWA (JIJI LA MIYAKO)










JIJI LA MIYAKO LILILO ATHIRIKA KWA KIASI KIKUBWA SANA NA TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI



Inasikitisha kujua kwamba kaka yake Kancho Kanazawa

(Dr. Hideo Kanazawa) ni m'oja ya watu walioathiriwa kwa

kiasi kikubwa sana na janga hilo ikiwa ni pamoja na

kupoteza nyumba.

TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI

Kwa niaba ya SKITA kwa kushirikiana na TASHOKA tunatoa pole kwa janga

lililoikuta Serikali ya Japani. Tunawapa pole waliopoteza makazi yao

na waliodhurika kwa namna moja au nyingine.

Mungu azilaze roho za marehemu waliodhurika na janga hilo mahali pema

peponi amina.


SKITA & TASHOKA.