Saturday, July 3, 2010

MUHTASARI WA MASHINDANO YA KATA URUSI (SHOTOKAN KARATE INTERNATIONAL FEDERATION)






3 comments:

  1. Itakua vizuri zaidi kwa wanakarate wote wa Tanzania kutoka klabu zilizosajiliwa na serikali tuwe na vitambulisho vyetu vitakavyowezesha utambulike kisheria popote pale utakapo kwenda, maana kumekua na wadanganyifu wengi mtaani wanaoharibu na kudharaulisha mchezo wa karate.Zichukuliwe hatua kali za kisheria klabu zisizosajiliwa kwa maana wanatengeneza vibaka na majambazi.NB Asante!! Juma Kibe wa Serengeti shotokan klabu,Gongo la mboto.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Naunga Mkono wazo lako Kamanda. Ipo haja pia kwa Viongozi kutembelea Club za Mikoani na wilayani

      Delete
  2. ni kweli kabisa kaka Juma. Ni vigumu mno mwanafunzi mdogo au mtu asiyeifahamu sanaa hii kwa undani kutambua utaalam wa mwalimu.

    ReplyDelete