TANZANIAN KARATE

Pages

▼
Friday, February 19, 2010

FALSAFA ZA O'SENSEI

›
MIONGOZO 22 YA MEIJIN GICHIN FUNAKOSHI 1. Karate huanza na kumalizika kwa nidhamu. 2. Daima fikiri kiubunifu. 3. Fikra huja kabla ya mwil...
Friday, February 5, 2010

THE ' BLACK PEARL '

›

NINI MAANA YA KUMITE ?

›
Sehemu nyingine ya mafunzo ya karate hujumuisha makabiliano baina ya wanafunzi, hii kwa neno la kijapani huitwa kumite . Kumite hufundishwa...
Friday, January 15, 2010

›
BAADHI YA SABABU ZA STAILI NYINGI ZA KARATE KUCHEZWA PEKU(PASIPO VIATU) i) Utamaduni wa wajapani . Wajapani huvua viatu kabla ya kuingia ...
Saturday, January 9, 2010

MUHTASARI WA MASHINDANO YA KATA ITALY

›
MAANA YA KATA KATIKA KARATE Kata ni makabiliano ya kufikirika baina ya karateka na wapinzani kutoka pande mbalimbali. Tunatumia neno wapi...
Friday, January 8, 2010

›
SENSEI NI NANI ? Huko Japani kila mwalimu huitwa Sensei. Lakini pia mwanasheria au daktari huitwa Sensei kutokana na kwamba ni msomi au mjuz...
Tuesday, January 5, 2010

SENSEI ENOEDA AKIONYESHA MBINU ZA KARATE (1979)

›
‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.