Pages

Saturday, August 13, 2011

RATIBA KAMILI YA MASHINDANO YA 11 YA DUNIA (SKIF, 2012) YATAKAYO FANYIKA HUKO AUSTRALIA, MJINI SYDNEY

Monday 19 November 2012
Referee’s Clinic
Yudansha-kai Seminar

Tuesday 20 November 2012
Referee’s Clinic
Yudansha-kai Seminar

Wednesday 21 November 2012
Dan Examinations
Managers/Officials meeting
SKIF General Assembly

Thursday 22 November 2012
Tournament - Veterans and Juniors

Friday 23 November 2012
Opening Ceremony
Tournament - Seniors

Saturday 24 November 2012
Tournament - Seniors
Awards Ceremony
Sayonara Party

JIJI LA MIYAKO LILILO ATHIRIKA KWA KIASI KIKUBWA SANA NA TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI



Inasikitisha kujua kwamba kaka yake Kancho Kanazawa

(Dr. Hideo Kanazawa) ni m'oja ya watu walioathiriwa kwa

kiasi kikubwa sana na janga hilo ikiwa ni pamoja na

kupoteza nyumba.

TSUNAMI ILIYOIKUMBA JAPANI

Kwa niaba ya SKITA kwa kushirikiana na TASHOKA tunatoa pole kwa janga

lililoikuta Serikali ya Japani. Tunawapa pole waliopoteza makazi yao

na waliodhurika kwa namna moja au nyingine.

Mungu azilaze roho za marehemu waliodhurika na janga hilo mahali pema

peponi amina.


SKITA & TASHOKA.

Friday, August 5, 2011

YALIYOJIRI KATIKA UJIO WA MANABU SHIHAN (MEI, 2011)

Wageni rasmi


Halaiki ya makarateka wa SKITA




Muda wa maakuli.





Wakuu wa itifaki.



Zawadi kwa Mheshimiwa Balozi Hiroshi Nakagawa kutoka kwa Rais wa SKITA Sensei Kolowa .P. Chikoko kwa niaba ya SKITA


Risala ya SKITA kutoka kwa mlezi wetu anko Dei.