Friday, May 10, 2013

YALIYOJIRI TASHOKA TAREHE 27/04/2013

Kutoka kushoto ni Sempai Meshack, Sensei Chikoko. Sempai Rehema pamoja na Senpai Potea


Sempai Rehema akiojiwa na vyombo vya habari

                        Sempai Faraja akipokea cheti chake cha Dani ya pili (Nidan) kutoka kwa mjumbe wa BMT
Sempai Gabriel akipokea cheti chake cha Dani ya pili (Nidan) kutoka kwa mjumbe wa BMT

 Sempai Abdallah a.k.a Dulla akipokea cheti chake cha Dani ya pili (Nidan) kutoka kwa mjumbe wa BMT
 Sensei Amos Lombo akipokea cheti chake cha Dani ya tatu (Sandan) kutoka kwa mjumbe wa BMT
      Sensei Kudra akipokea cheti chake cha Dani ya tatu (Sandan) kutoka kwa mjumbe wa BMT
        Sensei Caesar akipokea cheti chake cha Dani ya tatu (Sandan) kutoka kwa mjumbe wa BMT